Kitengo cha matibabu kimeimarisha huduma zake kwa mazuwaru wa nusu ya mwezi wa Shabani.

Kitengo cha matibabu katika Atabatu Abbasiyya kimeimarisha huduma zake kwa mazuwaru wa nusu ya mwezi wa Shabani, kimefungua vituo vitano vya ziada na ushiriki wa gari za wagonjwa (100) zilizowekwa karibu na milango yote ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) pamoja na madaktari wa kujitolea (70) wanawake na (75) wanaume kutoka mikoa tofauti.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: