Atabatu Abbasiyya imetoa wito wa kushiriki kwenye mahafali ya wahitimu wa chuo

Atabatu Abbasiyya inatoa wito kwa wanafunzi kuja kushiriki kwenye mahafali ya wahitimu wa vyuo vikuu vya Iraq, iliyopewa jina la (Juu ya uongofu wa mwezi) awamu ya tano.

Mahafali itafanywa tarehe 11/4/2025m kwa wahitimu wa vyuo vikuu katika mwaka (2024 – 2025).

Tutarudia kufanya usajili kwa wale walioshindwa kujisajili siku za nyuma, wanafunzi wanaopenda kushiriki wawasiliane na kitengo cha harakati za wanafunzi wa chuo, tambua kuwa usajili utasitishwa baada ya kutimia idadi inayotakiwa, na wale watakao jisajili mapema watapewa kipaombele zaidi.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo: 07713054897 – 07719283154.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: