Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa Jumatatu ya kesho ni siku ya kwanza ya Iddi tukufu.

Ofisi ya Muheshimiwa Sayyid Ali Husseni Sistani kaika mji wa Najafu imetangaza kuwa Jumatatu ya kesho tarehe (31/03/2025) ni siku ya kwanza ya mwezi wa Shawal 1446 hijiriyya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: