Marjaa Dini mkuu Sayyid Ali Sistani ametangaza kuwa Jumanne ya kesho ni siku ya kwanza katika mwezi wa Dhulqadah

Ofisi ya Muheshimiwa Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu-Ashrafu, imetangaza kuwa Jumanne ya kesho tarehe (29/4/2025m) ni siku ya kwanza ya mwezi wa Dhulqadah mwaka 1446h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: