Kwa picha.. makundi ya waumini yanahuisha siku ya Arafa katika mji wa Karbala

Makundi ya mazuwaru yamefanya ibada za siku ya Arafa mbele ya malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) katika mji wa Karbala.

Uwanja wa katikati ya haram mbili tukufu na maeneo yanayozunguka Ataba, yamejaa mazuwaru kutoka ndani na nje ya Iraq.

Ziara hii hufanywa kila mwaka mwezi tisa Dhul-hijja, watu huja katika mji mtukufu wa Karbala kuadhimisha mbele ya malalo mbili takatifu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: