Atabatu Abbasiyya imeweka mapambo meusi na vitambaa vinavyo ashiria huzuni kwenye barabara za Karbala

Atabatu Abbasiyya tukufu imeweka mapambo meusi na vitambaa vinavyo ashiria huzuni kwenye barabara za Karbala.

Kazi hiyo imefanywa na kitengo cha kusimamia haram katika Ataba tukufu.

Wanafunga vitambaa vyeusi kwenye barabara na baadhi ya maduka kwa kukubaliana na wamiliki wa maduka hayo, ikiwa kama ishara ya kuonyesha huzuni na kukumbuka tukio la Ashura.

Kazi hiyo imehusisha vitambaa vilivyo dariziwa maneno maalum yanayohusu mwezi wa Muharam.

Kuomboleza kifo cha Imamu Hussein (a.s) ni fursa ya kuimarisha subira na msimamo katika jamii.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: