Mji wa Karbala hupokea idadi kubwa ya mazuwaru katika mwezi wa Muharam, ambao huja kufanya ziara katika malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s), wanaweka mazingira ya huzuni na utiifu kwa Ahlulbait (a.s).
Atabatu Abbasiyya imeandaa mkakati maalum wa kuhudumia mazuwaru na kukidhi mahitaji yao.







