Chuo kikuu cha Al-Ameed kinatoa wito wa kushiriki kwenye warsha ya kielimu kuhusu tatizo la talaka

Jumuiya ya Al-Ameed inatoa wito wa kushiriki kwenye warsha ya kielimu iliyopewa jina la (Halali ichukizayo mmno… kingele inayotishia ujenzi wa jamii).

Jumuiya inafanya warsha kwa kushirikiana na baraza la wanasheria, serikali na taasisi ya ibun Sinaa chini ya usimamizi wa Atabatu Abbasiyya tukufu.

Warsha itafanywa siku ya Ijumaa (24/10/2025m) sawa na mwezi (1 Jamadal-Ula 1447h) saa tatu asubuhi kwenye ukumbi wa Imamu Hassan (a.s) katika Ataba tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: