Makundi ya watu yanahuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s)

Mji mtukufu wa Karbala, umeshuhudia makundi makubwa ya watu wanaokuja kufanya ziara ya usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Mji wa Karbala hupokea watu wanaokuja kufanya ziara mbele ya malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) na kuhuisha utiifu wao kwa Ahlulbait (a.s).

Atabatu Abbasiyya imeweka utaratibu maalum wa kutoa huduma bora kwa zuwaru.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: