Mhadhiri ameongea mada mbalimbali, amekumbusha historia tukufu ya Maimamu wa Ahlulbait (a.s) na nafasi yao katika kufundisha misingi ya Dini ya kiislamu.
Majlisi ya kuomboleza ni sehemu ya ratiba endelevu katika Ataba tukufu, yenye lengo la kuhuisha mafundisho ya Ahlulbait (a.s) na wafuasi wao.





