Watumishi wa Atabatu Abbasiyya wamefanya kitendo cha kiibada katika ukumbi wa haram tukufu

Wahudumu wa Atabatu Abbasiyya wamefanya kitendo cha kiibada katika ukumbi wa malalo ya Abulfadhik Abbasi (a.s) kwa kuhudhuria kundi kubwa la zuwaru.

Imehusisha usomaji wa Qur’ani tukufu, ukafuata usomaji wa ziara ya Abulfadhil Abbasi (a.s) kisha wimbo wa (Lahnul-Ibaa).

Watumishi wa Ataba tukufu hufanya kitendo cha kiibada kila siku ya Jumatatu na Alkhamisi ya kila wiki.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: