Kikao hicho kimehudhuriwa na makamo katibu mkuu Sayyid Abbasi Mussa Ahmadi, wajumbe wa kamati kuu, maraisi wa vitengo na viongozi wa idara mbalimbali.
Wamejadili mambo mbalimbali kuhusu ratiba na utoaji wa huduma, ili kufanikisha swala hilo kwa ufanisi katika mji wa Karbala.





