Chini ya vipimo na vigezo vya kimataifa vilivyo tumiwa katika kukubali zana za ubunifu zitakazo shiriki katika maonyesho na kongamano la kwanza la wabunifu na kamati mseto ya maandalizi baina ya jukwaa la wabunifu na Atabatu Abbasiyya tukufu, ambapo vilipelekea kupasishwa aina (108) za ubunifu katika aina (570) zilizo omba kushiriki, huo ulikua mchujo wa awamu ya kwanza, katika awamu ya pili wamechaguliwa washindi katika kila aina ya ubunifu na kupewa zawadi, zawadi ya kwanza ni midani ya Dhahabu, ya pili midani ya Fedha na ya tatu midani ya Bronze, matokeo yalikua kama ifuatavyo:
Kwanza: Washindi katika ubunifu wa sekta ya elimu
Walio pata midani ya Dhahabu:
Profesa Korakis Abdaal Adam
Dokta Muhammad Ali Jaabir
Mwalimu Aun Lafta Alayu
Ahmad Kadhim Jaasim
Kutokana na ubunifu wa (teknolojia ya kiiraq ya kuzalisha vigae imara vya chuma).
Walio pewa midani ya Fedha ni:
Dokta. Alwaan Naswif Jaasim
Sayyid Rawaau Abdallah Ali
Sayyid Quraish Abbasi Kadhim
Sayyid Nuru Adnani Qaasim
Sayyid Qaasim Muhammad Swahni
Kutokana na ubunifu wa (Kuandaa vimelea na kuvitumia katika kufunika na kutunza nafaka za chakula vinavyo zuia kuharibika na kutoka wadudu katika nafaka).
Walio pewa midani ya Bronze ni:
Profesa Falaah Hassan Hussein
Profesa Haidari Ubais Haashim
Kutokana na ubunifu wa (Kurejesha mzunguko Athidiyom).
Pili: Washindi wa ubunifu wa kihandisi
Waliopewa midani ya Dhahabu ni:
Ustadh Anwaar Jalil Shihaab
Profesa. Ali Abdulhussein Mahadi
Profesa. Mudhaau Muhammad Shit
Kutokana na ubunifu wa (Mkono wa kufundishia wenye kutoa sauti na mwanga).
Aliye pewa midani ya Fedha ni:
Sayyid Ali Inaad Muhsin Fuadiy.
Kutokana na ubunifu wa (kifaa cha kutolea uchafu katika maji ya visima na kuyafanya yawe safi na kukata kiu).
Waliopewa midani ya Bronze ni:
Profesa. Kaadhim Kaamil Rasan
Pfrofesa. Muhsin Jabri Joji
Sayyid Mustafa Twariq Ismaeel
Tatu: Washindi katika ubunifu wa vifaa vya kijeshi
Waliopata midani ya Dhahabu:
Profesa. Thaamir Abdul-ameer Hassan
Muhandisi Uswaam Raadhi Abbasi
Mwanafizikia Ali Qassim Twa’ama
Muhandisi Ali Abdusaada Alawiy
Mpangiliaji Ali Thaamir Abdul-ameer
Kutokana na ubunifu wa (Vifaa vya kurushia mabomu kwa muda tofauti)
Aliopata midani ya Bronze:
Sayyid Majid Mushajal Faraju
Kutokana na ubunifu wa (Kifaa cha kujaza risasi za kiwango cha kati KBC).
Nne: Washindi wa ubunifu wa tiba
Aliye pata midani ya Dhahabu:
Sayyid Hukimat Faraju Nauum
Kutokana na ubunifu wa (Kifaa cha kuchochea umeme cha kitabibu).
Waliopata midani ya Fedha:
Mwalimu Zainabu Haadi Abbasi
Profesa. Kafaah Said Abbasi
Dokta. Naahi Yusufu Yasini
Kutokana na ubunifu wa (Kutoa na kusafisha uchafu wa mbuzi na kutengeneza kinga ya baadhi ya aina za saratani).
Waliopata midani ya Bronze:
Dokta. Falak Usama Abbasi
Profesa. Asilu Basim Abdulhussein
Mwalimu. Raghad Usama Abbasi
Kutokana na ubunifu wa (Kutengeneza aina mpya na bora kwa kutibu meno yaliyo haribika).
Tano: Waliofaulu katika ubunifu wa kilimo
Aliyepata midani ya Dhahabu:
Sayyid Raami Hassan Abbasi Janabi
Kutokana na ubunifu wa (Kifaa cha kupandia juu ya mitende)
Waliopata midani ya Fedha:
Profesa. Saadi Abdulhussein Naaji
Sayyid Hassan Abdulhussein Tamimiy
Dokta. Ammaar Dhiyaab Twalib
Dokta. Saadiy Shaalaani
Dokta. Susan Swaabir Khalifa
Dokta. Shalimuun Jaju
Dokta. Bishiy Saadiy
Kutokana na ubunifu wa (Kutengeneza chembe chembe hai za kuyayusha katika maji na kuzitumia kwa tiba ya kuharisha kwa watoto, pia chembe chembe hizo huongeza uzalishaji wa kuku wa mayai)
Waliopata midani ya Bronze:
Profesa. Hamid Kaadhim Abdul-ameer
Sayyid Ahmad Haadiy Abuud
Mwalimu Mustafa Hassan Maryush
Profesa. Abbasi Abdulhussein Karim
Mwalimu Ahmad Karim Abdallah
Kutokana na ubunifu wa (zana za ukuzaji wa mimea wa haraka).