Idara ya ufundi, uzalishaji na matangazo ya moja kwa moja ya Alkafeel, chini ya kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya tukufu, imetangaza masafa itakayo rusha vikao vya maombolezi ya Imamu Hussein (a.s) katika mwezi wa Muharam na Safar bure.
Idara inavitaka vyombo vyote vya habari, vya kitaifa na kimataifa, watakaopenda kutumia program hii wafuate maelekezo yafuatayo:
SAT: INTELSAT 902@62°E
DL:11193 V
SR:3000
DVBS2
FEC:2/3
HD/MPEG-4
Kwa maelezo zaidi mnaweza kuwasiliana na Ustadh Bashiri Taajir kiongozi wa idara ya ufundi na uzalishaji ya Alkafeel kwa namba (009647706007187) au Muhandisi wa matangazo katika Ataba tukufu bwana Ihaab Awidi kwa namba (009647706054144).