Sajili jina lako kwa ajili ya ziara ya Arubaini kwa niaba…

Maoni katika picha
Kwa kila aliye shindwa kushiriki katika ziara ya Arubaini kwa kuja mwenyewe katika kaburi la bwana wa mashahidi na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).

Mtandao wa Alkafeel utafanya ziara kwa niaba kupitia ukurasa wake rasmi wa ziara kwa niaba ufuatao:

https://alkafeel.net/zyara/

Mtandao umeandaa watu mahiri watakao fanya ziara na kusoma dua kwa niaba ya kila atakaye sajili jina lake katika ukurasa huo.

Amani iwe juu ya mateka walio rejea Karbala kutoka Sham.

Amani iwe juu ya mashahidi katika kaburi zao tukufu.

Amani iwe juu ya Hussein na watu wa Hussein na aliye uawa pamoja na Hussein.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: