Hivi punde.. Ofisi ya Ayatullah Sayyid Sistani yatangaza kua kesho ni siku ya kwanza ya mwezi wa Rabiul-Awwal…

Maoni katika picha
Ofisi ya Mhesshimiwa Marjaa dini mkuu Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani imetangaza kua kesho Juma Tatu (20 Novemba 2017m) itakua siku ya kwanza ya mwezi wa Rabiul-Awwal (1439h).

Hayo yamesemwa katika taarifa iliyo tolewa na ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani na kuufikia mtandao wa Alkafeel, taarifa hiyo imethibitisha kuonekana kwa mwezi mwandamo wa Rabiul-Awwal (1439h).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: