Vikosi vya Abbasi (a.s) vya randa randa katika jangwa kuwasaka magaidi wa Daesh na vimefika hadi katika eneo la Mafkhara Tauswin mpakani…

Maoni katika picha
Vikosi vya Abbasi (a.s) vinaranda randa katika jangwa la mpakani mwa Iraq na Sirya kwa ajili ya kuimarisha usalama na kuwatimua magaidi wa Daesh pamoja na kufunga mlango wa mwisho, hadi sasa vikosi vimesha fika katika eneo la Tauswin la mpakani.

Katika hatua ya mwisho ya vita ya kukomboa kisiwa kukubwa miongoni mwa opreshen ya (Mtume wa Mwenyezi Mungu ni mwisho wa mitume) kwa ajili ya kukomboa eneo linalo unganisha Mosul na Ambaar kuelekea hadi katika mpaka wa Sirya, opreshen iliyo anza asubuhi ya Ijumaa ya leo, na wapiganaji wamefanikiwa kukomboa eneo kubwa sana.

Kumbuka hakika jukumu walilo pewa kikosi cha Abbasi na uongozi wa Hashdi Sha’abi ni kukomboa eneo la mpakani linalo unganisha nchi mbili (Iraq na Sirya) na kufunga mpaka huo, pamoja na kutangaza eneo hilo kua mstari mwekundu, hataruhusiwa gaidi yeyote kuvuka mpaka huo, vimeshiriki vikosi vyote katika opreshen hii.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: