Hivi punde: Ofisi ya Marjaa dini mkuu yatangaza kua kesho ni siku ya mwisho katika mwezi wa Rajabu na mwezi wa Shabani utaanza siku ya Juma Tano…

Maoni katika picha
Ofisi ya Marjaa dini mkuu Mheshimiwa Ayatullah Sayyid Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kua: kesho siku ya Juma Nne ni siku ya mwisho katika mwezi wa Rajabu 1439 hijiriyya, hivyo siku ya Juma Tano ambayo ni (18 Aprili 2018m) itakua siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Shabani wa mwaka 1439 hijiriyya.

Tuna muomba Mwenyezi Mungu mtukufu ajaalie mwezi huu na miezi mingine kua yenye kheri na baraka kwa taifa la Iraq na raia wake pamoja na mataifa yote ya kiislamu, hakika yeye ni msikivu na mjibuji.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: