Baina ya zama mbili: Ataba tukufu za Karbala zinaendelea kujengeka kila mwaka (picha)…

Maoni katika picha
Baina ya zama mbili.. baina ya Twaghuti aliye angamiza mbichi na kavu, na kila kilicho jiri kwa Wairaq.. na wakati za Marjaiyya walio ziingiza Ataba tukufu katika zama za dhahabu, na wameanzisha mamia ya miradi mbalimbali yenye manufaa duniani na akhera.. miaka inakatika huku ikiendelea kuchomoza Iraq ya Ali na Hussein (a.s)..

Jambo hili tunalionyesha kwa kutumia picha za matukio yaliyo zipata Ataba tukufu za Iraq, miongoni mwa mashambulio ya kinyama yaliyo fanywa na watu wa Ba’athi katika zama za Sadam, ambao walielekeza hasira zao katika maeneo matukufu ya Karbala, na kwa kila waliye mbaini kua alishiriki katika maandamano matukufu ya Shaabaniyya, pamoja na picha zingine zinazo onyesha maendeleo ya sasa..
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: