Bendera ya Abulfadhil Abbasi (a.s) yawa kimbilio la waumini katika maonyesho ya vitabu ya kimataifa awamu ya thelathini na moja huko Tehran…

Maoni katika picha
Miongoni mwa vitendo vya kiimani vilivyo fanywa kutokana na maombi ya waumini, Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya idara ya mambo ya kiroho, imeandaa sanduku la mbao lililo nakshiwa vizuri ambalo ndani yake imewekwa bendera ya kubba la dhahabu la Abulfadhil Abbasi (a.s) iliyo fanyiwa tabaruku katika kubba la Imamu Hussein (a.s).

Waumini wamekuja kutoka kila sehemu, kunusa harufu tukufu kutoka kwa bwana wa watukufu (a.s).

Macho yao yakiwa yanalenga lenga machozi huku ndimi zinacheza cheza kwa kumuomba Mwenyezi Mungu awakidhie shida zao kwa utukufu wa kutawasal na athari za Ahlulbait (a.s).

Kamera ya mtandao wa kimataifa Alkafeel inakuletea picha chache za mazingira hayo…
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: