Miongoni mwa bidhaa za shirika la Aljuud: Ni sabuni ya maji kwa matumizi ya majumbani na viwandani bidhaa halisi ya kiiraq inayo kidhi viwango vya kimataifa…

Maoni katika picha
Shirika la Aljuud halikutosheka na utengenezaji wa sabuni za miche peke yake, bali imetengeneza sabuni ya maji inayo faa kwa matumizi ya majumbani na viwandani, nayo ni bidhaa halisi ya kiiraq inayo kidhi viwango vya kimataifa, bidhaa hii ni muendelezo wa bidhaa zingine, kwa mujibu wa mpango wa shirika hili wa kuendelea kutengeneza bidhaa bora kwa matumizi ya binadamu zinazo kidhi mahitaji ya watumiaji, aina hii ya sabuni sio kwamba imetengenezwa kwa malighafi bora na salama kuanzia manukato hadi rangi yake, bali inafaida nyingi tofauti na sabuni zingine za maji, ambazo huwa na ubora mdogo au huuzwa kwa bei kubwa, na zimefanikiwa kupata soko kwa nguvu za matangazo tu.

Shirika limetoa aina sita za sabuni ya maji na linaweza kuongeza aina zingine siku za mbele kutokana na mahitaji ya watumiaji, toleo la sasa lina ujazo wa (ml 500) na (lt 3.5), zifuatazo ndio aina za sabuni hizo:

 • - Sabuni ya maji yenye manukato ya lavender (aina ya mauwa ya rangi ya zambarawe yenye harufu nzuri yanapatikana kwa wingi afrika kaskazini na maeneo ya milimani).
 • - Sabuni ya maji yenye manukato ya Yasmin.
 • - Sabuni ya maji yenye maunkato ya mpunga.
 • - Sabuni ya maji yenye manukato ya nazi.
 • - Sabuni ya maji yenye manukato ya mushamish (aina fulani ya dunda linafanana na apple lakini linakokwa ndani).
 • - Sabuni ya maji yenye manukato ya udi.

Sabuni hizi zinasifa nyingi, miongoni mwa sifa zake ni:

 • - Zina mguso laini mzuri kwa ngozi kavu au ngozi yenye matatizo.
 • - Zina nguvu kubwa sana ya kuondoa uchafu.
 • - Zinafanya kazi haraka na zinatoka haraka pia haina athari katika ngozi.
 • - Ni nzuri kwa kunawia mikono na kuifanya iwe na unyevunyevu.
 • - Zinang’arisha ngozi na kuifanya kua laini.
 • - Zina harufu nzuri na inakaa kwa muda mrefu.
 • - Zinafaa kwa ngozi kavu au inayo chagua sabuni.
 • - Ni sabuni halisi ya kiiraq inayo kidhi viwango vya kimataifa.
 • - Hazina madhara yeyote na nirafiki wa mazingira.
 • - Zina uwezo mkubwa wa kuondoa balteria wabaya na kuwauwa kabisa.
 • - Zinapatikana kwa bei nafuu.

Kumbuka kua sabuni hizo zinapatikana katika vituo vya mauzo ya moja kwa moja vya shirika hili ndani na nje ya mkoa wa Karbala, kwa maelezo zaidi piga simu zifuatazo (07801930125 au 07801035422) au tembelea ofisi ya shirika iliyopo katika barabara ya Karbala/Najafu mkabala na nguzo namba 1145.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: