Kamera ya mtandao wa kimataifa Alkafeel yakuletea picha za maombolezo ya matembezi ya Towareji…

Maoni katika picha
Kutokana na kuwepo wapiga picha katika vituo walivyo pitia waomolezaji wa matembezi ya Towareji, kamera za mtandao wa kimataifa Alkafeel zimeweza kukuletea picha za maombolezo hayo ambayo waombolezaji wametembea zaidi ya saa tatu hadi kufika katika malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s), wakipitia katika malalo ya Imamu Hussein (a.s) na eneo la katikati ya haram mbili tukufu, miongoni mwa picha hizo kuna picha za juu (zilizo pigwa kutokea angani), picha hizi zinaonyesha wazi namna mpangilio ulivyo kua mzuri pamoja na ukubwa na majonzi yanayo tokana na tukio la kinyama linalo umiza nyoyo na kumliza Mtume na watu wa nyumbani kwake (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: