Tangazo kuhimu kutoka chuo kikuu cha Alkafeel.

Maoni katika picha
Tangazo muhimu kutoka chuo kikuu cha Alkafeel.

Kwa wanafunzi walio omba kujiunga na vitivo vya chuo (Udaktari wa meno na uuguzi) ambao majina yao yapo katika jeduali wanatakiwa kufika katika ofisi za kitengo cha usajili wa wanafunzi wakiwa na vitu vifuatavyo:

Kitambulisho cha utaifa wake na kitambulisho cha taifa (kopi nne kwa kila kitambulisho).

Kitambulisho cha makazi (kopi nne).

kitambulisho cha utaifa na kitambulisho cha taifa cha mzazi wa mwanafunzi (kopi mbili).

Picha ndogo za paspoti saizi (tano).

Kitambulisho cha utaifa wake wa zamani (nakala halisi + kopi nne) zielekezwe kwa chuo kikuu cha Alkafeel.

Cheti cha daktari kinacho onyesha vipimo alivyo fanyiwa mwanafunzi (nakala halisi ielekezwe kwa chuo kikuu cha Alkafeel).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: