- 1- Zaairu anaruhusiwa kuweka vitu vyake katika ofisi ya idara iliyopo mbele ya mlango wa Alqamiy (mlango wa Furati) katika dirisha la kuweka na kuchukua, na anaruhusiwa kuchukua wakati wowote atakao taka.
- 2- Anapo poteza kitu chochote anatakiwa kutoa taarifa haraka, ili taarifa yako iingizwe katika program maalumu ya vitu vilivyo potea na kusambazwa katika vituo vyote vya idara hii kwa ajili ya kukibaini na kurudishiwa kwa aliye poteza mara tu baada ya kupatikana kitu hicho.
- 3- Zaairu anaweza kuweka vitu vyake katika masanduku ya amanaat yaliyopo karibu na uwanja wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s), masanduku hayo ni salama na hakuna anayeweza kufungua ispokua yule aliye funga.
- 4- Yeyote atakaye poteza kitu chake anaweza kuangalia katika ukurasa wa wapotelewa katika mtandao wa Alkafeel, kwa ajili ya kutoa taarifa au kuangalia kitu alicho poteza kupitia anuani hii: (http://alkafeel.net/lost/index.php).
Fahamu kua ofisi za waliopotelewa zipo upande wa mashariki ya uwanja wa haram tukufu karibu na mlango wa Furati, au unaweza kuwasiliana nao kupitia namba za simu zifuatazo:
- - Namba za Ataba tukufu: (322600) namba ya ndani (141).
- - Funguo za kimataifa: (00964).
- - Funguo za mji: (032).
- - Simu za mezani: (333253) – (333254) – (327999).
- - Mawasiliano yetu: (07400342201).
- - Al-Athiir: (07804947331).
- - Kiongozi wa idara: (07801016727).