Majina ya nchi (40) za kiarabu na kiajemi zinazo shiriki katika kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na tano

Maoni katika picha
Kamati ya habari ya kongamano la Rabiu Shahada awamu ya kumi na tano imetangaza kupokea wageni kutoka nchi (40) za kiarabu na kiajemi waliokuja kushiriki katika kongamano la Rabiu Shahada awamu ya kumi na tano, litakalo anza Alasiri ya Jumanne (3 Shabani 1440h) sawa na (9 April 2019m) chini ya kauli mbiu isemayo: (Imamu Hussein –a.s- ni mnara wa umma na suluhisho madhubuti), kuanzia (3 – 7 Shabani 1440h) chini ya ufadhili na usimamizi wa Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).

Kamati imebainisha kua; imepokea wageni kutoka mataifa tofauti kama ifuatavyo: Saudia, Baharain, Kuwait, Oman, Misri, Lebanon, Tunisia, Algeria, Moroko, Mali, Kamerun, Averekosti, Gini Bisao, Gini Konakri, Gana, Brokinafaso, Madagaska, Iran, Tailand, Sirlanka, Bangaladesh, Pakistani, Kanada, Urusi, Ufaransa, Uingereza, Krashia, Mathodonia, Kosovo, Hangari, Ujerumani, Holandi, Adharbaijan, Kongo, Laiberia, India, Uswisi, Albania, Marekani.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: