Maoni katika picha
Rais wa kitengo cha kihandisi katika Atabatu Abbasiyya Mhandisi Dhiyaau Swaaigh amesema kua: “Tumemaliza ujenzi wa zege pamoja na kazi ya kashi Karbalai, sambamba na kazi ya umeme, tumeanza kuweka mifumo ya viyoyozi (AC), zima moto na mingineyo, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu mtukufu tutakalisha ujenzi ndani ya muda uliopangwa”.