Maoni katika picha
Kina mazingira bora ya kimasomo, yanayo muwezesha mwanafunzi kusoma kwa amani na utulivu na kupata malezi bora, madarasa yake yamewekwa vifaa vya kisasa, kina maabara nzuri na eneo kubwa la bustani ya kupumzika, kinawalimu wazuri wenye uzowefu mkubwa, chio hiki kimekua na sifa nzuri kitaifa.
Fahamu kua chuo kikuu cha Al-Ameed kinatambuliwa na wizara ya elimu ya juu ya Iraq na kimesajiliwa kwa namba 6519.