App inayosaidia kulipa swala au funga zilizo kupita

Maoni katika picha
Miongoni mwa App zinazo saidia kulipa ibada zilizo kupita ni App ya Faraaidh iliyo tengenezwa na idara ya Intanet katika Atabatu Abbasiyya tukufu.

Inamsaidia mtu kulipa swala au funga zilizo mpita kwa kuhifadhi muda wa kulipa, anapo lipa inaandikwa kwenye App na inamkumbusha mlipaji kila unapo fika muda aliopanga, inaendelea kuhifadhi hadi atakapo maliza kulipa ibada anazo daiwa.

App hii imeongezwa vitu vipya, ikiwa ni pamoja na uwezo wa kuongeza au kupunguza faradhi mpya muda wowote utakao, pia unaweza kuperuzi kwa urahisi na kuhifadhi funga unazo lipa au kufanya marekebisho.

Marekebisho hayo yamesaidia kupunguza (android) na (ios), inapakulika kwa urahisi.

Fahamu kua App inamsaada mkubwa kwa watumiaji wake, hadi sasa imesha pakuliwa na watu zaidi ya roba milioni kwenye simu za kisasa (smart phone).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: