Kwa picha: Haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s) ikiwa katika saa za mwisho za vazi la huzuni ya Muharam na Safar.

Maoni katika picha
Baada ya Haram ya Abulfdhil Abbasi (a.s) kuvishwa vazi la huzuni na msiba wa bwana wa mashahidi Imamu Hussein (a.s) na watu wa nyumbani kwake na maswahaba wake (r.a), imeanza kujiandaa kuvua vazi hilo lililodumu kwa muda wa miezi miwili Muharam na Safar, itapandishwa bendera nyekundu tena juu ya kubba tukufu, katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar.

Kamera ya mtandao wa Alkafeel inakuletea baadhi ya picha za kuondoa mapambo meusi yaliyo wekwa kwa ajili ya maombolezo ya Muharam na Safar..
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: