Wizara ya elimu ya juu yapongeza juhudi za chuo kikuu cha Al-Ameed

Maoni katika picha
Wizara ya elimu ya juu na tafiti za kielimu imepongeza juhudi za chuo kikuu cha Al-Ameed chini ya kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kwa kuwarahisishia usomaji wanafunzi na kupunguza ada.

Hayo yapo katika barua ya shukrani na pongezi kwa uongozi wa chuo cha Al-Ameed, kutokana na kupunguza ada kwa asilimia kumi (%10) katika kila kitivo (mchepuo) wake kwa mwaka, kufuatia mazingira ambayo taifa letu linapitia kwa sasa.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: