Kitengo cha miradi ya kihandisi kimeanza kujenga kituo cha kusafisha maji karibu na Maqaam ya Imamu Mahadi (a.f)
13-02-2026
Kitengo cha miradi ya kihandisi kimeanza kujenga kituo cha kusafisha maji karibu na Maqaam ya Imamu Mahadi (a.f)
Kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya kimeanza kujenga kituo cha kusafisha maji karibu na Maqaam ya Imamu Mahadi (a.f).
Mhandisi mkazi katika mradi huo, Sayyid Hussein Muhammad Baaqir amesema &ldquo ...