Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Dirisha la malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Dirisha jipya la malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) limetengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu ndani ya kiwanda ambacho kipo chini ya Ataba tukufu, nalo ni dirisha la kwanza kutengenezwa hapa Iraq chini ya raia wa Iraq, lina upekee wake katika mambo mengi ikiwa ni pamoja na uzuri wa mapambo yake, ambayo yanatofautiana na mapambo ya madirisha mengine duniani, litabadilishwa pamoja na kulinda uzuri wake unaolitofautisha na madirisha ya makaburi matukufu na mazaru ya hapa Iraq na katika ulimwengu wa kiislamu kwa mujibu wa ushuhuda wa wataalamu wa madirisha hayo.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 140
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 2058
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 4