Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa jengo la Quráni
Mradi wa jengo la Quráni chini ya Maahadi ya Quráni tukufu, unatekelezwa kwa ajili ya kuiwezesha kumudu miradi ya Quráni inayo endeshwa na Maahadi, hivyo tumeandaa eneo maalum linalo endana na mahitaji yake, imeteuliwa sehemu katika eneo la jengo la Alqami lililopo barabara ya (Baabil – Karbala) lenye ukubwa wa mita za mraba (1300).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
17-12-2020
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 35
Zaidi