Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa jengo la vyoo wa kwanza
Katika kuendelea na miradi ya majengo ya utowaji wa huduma za Atabatu Abbasiyya kwa mazuwaru wa malalo ya bwana wa mashahidi Abu Abdillahi Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s), ili kuhakikisha wanapewa huduma nzuri, na kuwepo kwa msongamano wa watu katika vyoo hususan wakati wa ziara zinazo hudhuriwa na mamilioni ya watu, kitengo cha miradi ya kuhandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu kimejenga nyumba ya vyoo karibu na haram tukufu ya Abulfadhil Abbasi (a.s) kwa kufuata ramani ya majengo ya mkoa wa Karbala na mradi wa upanuzi wa Ataba tukufu wa siku za baadae.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 46
Zaidi