Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kiwanda cha kufyatua tofali za smenti na nguzo za zege.
Kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya vifaa vya ujenzi na kuhakikisha kunakua na vifaa bora kwa bei nafuu pamoja na kuongeza uwezo wa upatikanaji wa vifaa hivyo vinavyo tengenezwa nchini, kwa kutumia smenti kokote na mchanga, kwa ajili ya kusaidia sekta ya uchumi na kupambana na tatizo la ukosefu wa ajira, ndio Atabatu Abbasiyya tukufu ikaanzisha kiwanda cha kufyatua tofali za smenti na nguzo za zege za aina na ukubwa tofauti chini ya viwango vya kimataifa.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 29
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 2