Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kiwanda cha kokoto
Kwa ajili ya kuhakikisha miradi ya ujenzi inatumia kokoto zenye ubora mkubwa na kuhakikisha mradi wa kufyatua tofali za bloko unapata vifaa bora, Atabatu Abbasiyya tukufu umeanzisha kiwanda cha kupasua kokoto (za aina mbalimbali) tena zenye ubora mkubwa ukilinganisha na kokoto zingine hapa Iraq.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 14
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 1