Ofisi ya Sayyid Sistani imesema kuwa: Alkhamisi ya kesho tunakamilisha mwezi wa Dhulhijjah na siku ya Ijumaa ndio mwezi mosi Muharam

Maoni katika picha
Ofisi ya Marjaa Dini mkuu Mheshimiwa Sayyid Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa Alkhamisi ya kesho tunakamilisha mwezi mtukufu wa Dhulhijjah, na siku ya Ijumaa sawa na tarehe (21 Agosti 2020m) ndio siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Muharam mwaka 1442 hijiriyya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: