Atabatu Abbasiyya tukufu inatoa mkono wa pongezi kwa kuingia Idul-Ghadiir

Maoni katika picha
Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu unatoa mkono wa pongezi kwa Imamu wa zama msubiriwa (a.f) na Maraajii watukufu pamoja na waislamu wote kwa kuingia Idul-Ghadiir (Idullahi-Akbaru), siku iliyokamilishwa neema na kutimizwa Dini na kutangazwa uongozi wa Imamu Ali bun Abu Twalib (a.s).

Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie sisi na nyie kuwa miongoni mwa wanaoshikamana na uongozi wake, na atuweke pamoja na kiongozi wa waumini (a.s), airejeshe tena siku hii kwa waislamu wakiwa salama na wenye afya, alijaalie taifa letu amani na utulivu, atuondolee mabalaa na maradhi, na wagonjwa wapone haraka.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: