Atabatu Abbasiyya tukufu inawapa pole waislamu wote kwa kufiwa na Marjaa Dini mkuu Sayyid Hakim

Maoni katika picha
Kwa huzuni na masikitiko makubwa uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu unatoa pole kwa Imamu wa zama (a.f) na Maraajii watukufu pamoja na umma wa kiislamu kwa kufiwa na Mheshimiwa Marjaa Dini mkuu Ayatullah Sayyid Muhammad Saidi Hakim, aliyefariki siku ya Ijumaa mwezi (25 Muharam 1443h) sawa na tarehe (3 Septemba 2021m) kwa maradhi ya moyo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: