Kuandaa masafa ya kurusha bure shudhuli za kumshindikiza Marjaa Dini mkuu Sayyid Hakim

Maoni katika picha
Kituo cha uzalishaji wa vipindi Alkafeel chini ya kitengo cha Habari katika Atabatu Abbasiyya tukufu kimetangaza kuandaa masafa maalum yenye upora mkubwa wa (HD) itakayo rusha bure matangazo ya kushindikiza muili wa Marjaa Dini mkuu Sayyid Hakim katika Ataba mbili takatifu.

Kwa kufuata anuani zifuatazo:
Satellite: Eutelsat 7A at 7.0 East(W3A)

DOWNLINK:12680.200 H

MOD:DVBS2-QPSK

FEC:5/6

Sr :3250

HD/MPEG-4
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: