Ofisi wa Mheshimiwa Sayyid Sistani imetangaza kuwa Alkhamisi itakua ndio siku ya kwanza katika mwezi wa Safar

Maoni katika picha
Ofisi ya Mheshimiwa Marjaa Dini mkuu Sayyid Ali Husseini Sistani, imetangaza kuwa siku ya kesho Jumatano tunakamilisha mwezi mtukufu wa Muharam, na siku ya Akhamisi itakua mwezi mosi Safar mwaka 1443 hijiriyya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: