Mheshimiwa kiongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya Sayyid Ahmadi Swafi (d.i) amesisitiza kuwa: (Yaliyosemwa katika ujumbe wangu uliotolewa kwenye hafla ya ufunguzi wa kongamano la sita la fatwa tukufu ya kulinda maeneo matakatifu, lililofanyika leo tarehe 16/6/2022m ndani ya Atabatu Abbasiyya, ni maoni yangu kuhusu matukio yaliyojiri katika taifa hili, sio maelekezo ya Marjaa Dini, wala asihusishwe na hali ya kisiasa inayoendelea..).