Sajili jina lako kufanyiwa ziara ya Imamu Baaqir (a.s) jiraji na kaburi lake takatifu huko Baqii

Maoni katika picha
Idara ya teknolojia na mitandao chini ya kitengo cha Habari katika Atabatu Abbasiyya tukufu, imetangaza utayali wake wa kufanya ziara ya Imamu Baaqir (a.s) kwa niaba, Jirani na kaburi lake takatifu huko Baqii katika mji wa Madina kwenye kumbukumbu ya kifo chake.

Kwa kila anayependa kufanyiwa ziara hiyo, ajiandikishe kwenye mtandao wa kimataifa Alkafeel kupitia link ifuatayo: https://alkafeel.net/zyara/ aidha unaweza kupakua App hiyo kwenye simu ya mkononi kupitia link: https://alkafeel.net/Apps/Arabic/, idara imefahamisha kuwa ziara hiyo itafanywa na waumini wa kujitolea wanaoishi Madina, watafanya ziara maalum na kuswali rakaa mbili kwa niya ya kukidhiwa haja na kurahisisha mambo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: