Kwa mnasaba wa siku ya kimataifa ya lugha ya kiarabu.. Jumuiya ya kielimu Al-Ameed yaalika watafiti

Jumuiya ya kielimu Al-Ameed imetoa wito kwa watafiti wahudhurie kwenye nadwa za kielimu katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya lugha ya kiarabu.

Nadwa itafanywa chini ya anuani isemayo (Lugha yetu ya kiarabu bwana wa lugha) siku ya Ijumaa (23 Jamadal-Uula 1444h, sawa na tarehe 28/12/2022m) saa tatu asubuhi ndani ya ukumbi wa Imamu Hassan (a.s) katika Atabatu Abbasiyya.

Kwa maelezo zaidi piga namba ifuatayo: 07602323337.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: