Ofisi wa Sayyid Sistani imetangaza kuwa kesho siku ya Jumapili ni mwezi mosi Jamadal-Aakhar

Ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani katika mji wa Najafu imetangaza kuwa Jumapili ya kesho tarehe (25/12/2022m) ni siku ya kwanza ya mwezi wa Jamadal-Aakhar mwaka 1444 hijiriyya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: