Katika kumbukumbu ya kifo cha Zaharaa.. chuo kikuu cha Al-Ameed kinafanya majlisi ya kuomboleza

Chuo kikuu cha Al-Ameed chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu, kimefanya majlisi ya kuomboleza kifo cha bibi Zaharaa (a.s).

Majlisi imefunguliwa kwa Qur’ani tukufu iliyo fuatiwa na mawaidha yaliyotolewa na Mheshimiwa Shekhe Muhammad Kuraitwi kutoka Atabatu Abbasiyya tukufu.

Ameongea historia ya bibi Zaharaa (a.s) na sehemu ya dhulma aliyofanyiwa na maadui wa Ahlulbait (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: