Majmaa-Ilmi inaendelea na semina za mradi wa Qur’ani kitaifa Alkafeel

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya inaendelea na semina za hukumu za usomaji wa Qur’ani na tajwidi.

Mwalimu wa somo la Tajwidi Dokta Raafii Al-Aamiriy amesema “Mradi wa Qur’ani kitaifa Alkafeel unaofanywa na Maahadi ya Qur’ani chini ya Majmaa, ni miongoni mwa miradi mikubwa hapa Iraq”.

Akaongeza kuwa “Tupo mwishoni mwa semina, tumesha toa zaidi ya mihadhara 30 tumefafanua mada 21 za tajwidi”.

Wanasemina wapo zaidi ya 80 kutoka mikoa tofauti, wamefundishwa kwa nadhariyya na vitendo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: