Atabatu Abbasiyya yafanya shindano linalohusu kuzaliwa Imamu Zainul-Aabidina (a.s)

Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu unafanya shindano la awamu ya tatu, linalohusu kuzaliwa kwa Imamu Ali bun Hussein Zainul-Aabidina (a.s) lenye anuani isemayo (watukufu waliozaliwa katika mwezi wa Shabani).

Majina ya washindi kumi yatatangazwa siku ya Ijumaa (24/02/2023) saa moja jioni kupitia mitandao ya Atabatu Abbasiyya tukufu.

Sharti la kupokea zawadi, mshindi anatakiwa awepo kwenye hafla itakayofanywa katika eneo la mlano wa Kibla ya haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s) siku ya Jumamosi taehe (25/2/2023).

Kushiriki kwenye shindano fungua link ifuatayo:

https://forms.gle/CQJkF4DqmhdCnBoi9
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: