Toleo la (456) la jarida la Swada-Raudhataini

Kitengo cha Habari katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kimetoa chapisho la 456 la jarida ya Swada-Raudhataini.

Jarada la mbele limewekwa picha ya wahitimu wa vyuo vikuu vya Iraq (Mabinti wa Alkafeel) walioshiriki kwenye program iliyoandaliwa na Atabatu Abbasiyya tukufu.

Kurasa zingine za jarida hilo zipatazo (83) zimeandika mambo mbalimbali, miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu, mafanikio yaliyopatikana, Habari, tafiti tofauti, makongamano na matamasha ya kidini.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: