Muhimu.. Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza matarajio ya siku ya kwanza ya Idul-Fitri tukufu.

Ofisi ya Marjaa-Dini mkuu Sayyid Ali Sistani imetangaza kuwa inatarajiwa siku ya Jumamosi ijayo tarehe 22 Aprili 2023 itakua siku ya kwanza ya sikukuu ya Idul-Fitri.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: